Atomic orbital
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 375
- 485
Mpaka majogoo
Tumekumiss pia mkuuHello guys nimewamisi![]()
Uko poa wewe?Tumekumiss pia mkuu
Niko poa sana mkuu wangu hofu kwako tuUko poa wewe?
Nafurahi kusikia hivyo bossNiko poa sana mkuu wangu hofu kwako tu
Hili litafanyiwa kazi, ila majukumu ya askari kwanza ni kutii agizo then maulizo baadae.. Tudumishe lindo kwanzaongezeni mishahara na muda wa kupumzika hapo ndo tutarudi lindoni 😊
Lala weweTeam popo
Lala wewe au mlinzi3.50
Wewe utakuwa secretary,ndio unalala kabisa ofisiniLala wewe au mlinzi
Napanda mlima hapa kwa shemeji yakoWewe utakuwa secretary,ndio unalala kabisa ofisini
Isije ikawa unapiga tukio 👀Napanda mlima hapa kwa shemeji yako
Tukio ganiIsije ikawa unapiga tukio![]()