careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,655
3:59

dah!!! Nina jambo kwani? Ni uchokozi tu nilikuwa nakutoa chumbani uje sebulenidah!!!
Haya nimefika mama... Una lako jambo??
Mama alisema tusicheze sebuleni tunaharibu makochiNina jambo kwani? Ni uchokozi tu nilikuwa nakutoa chumbani uje sebuleni

Rudini chumbaniMama alisema tusicheze sebuleni tunaharibu makochi![]()
Sawa mkuuRudini chumbani
Restricted Area usikatize hapa ⚠⚠🚶🚶🚶🚶
Muda umebaki mchache.lindo linakarbia kuisha
Weekend ilikuwa ndefu.LINDO LEO LIMEPOOZA. 04:12 HRS
Wanaopenda NBA wachache sana humu.Kumbe walinzi wanaangalia NBA Final, wameacha lindo.
Na hizi finali za NBA zimechangiaWeekend ilikuwa ndefu.
SidhaniNa hizi finali za NBA zimechangia
Ok! Basi itakuwa uchovu !Sidhani