de carter jr
Senior Member
- Aug 27, 2014
- 142
- 119
05:03 nakabidhi lindo😂
poa poa.Nakukabidhi lindo, usisahau kufunga!
I'm signing out!! Tchaoo...[emoji41][emoji41][emoji41]
Careen what went wrong yesterday [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaan leo nilienda bar kula baadae nikakikuta nimeanza kunywa pombe hii ni baada ya kusimama wiki mbili nikijifanya namrudia Mungu....kilichonipata sasa dah! Et nikaanza kumuonea wivu mtu anayenitongoza tu...yaani tangu saa nane nipo macho najutraaaaa dah najuta kulewa cjui ilikuaje
ongezeni mishahara na muda wa kupumzika hapo ndo tutarudi lindoni 😊Walinzi tumekuwa wachache siku hiz🤔
KaribuWenyeji wangu nawasalimu
[emoji1787] [emoji1787]ongezeni mishahara na muda wa kupumzika hapo ndo tutarudi lindoni [emoji4]
MamboHello guys nimewamisi[emoji41][emoji41]
PoaMambo
Hello guys nimewamisi[emoji41][emoji41]