Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Mmelala...!
Oyaaa inamaana mlinzi uko peke yako?04:18
![]()
Watu wamepumzika acha niwalinde!!Oyaaa inamaana mlinzi uko peke yako?
kweli kazi kazi mm nililala saa 6 saiz usingizi umekata.Hata usingizi sijapata hapa
Ngola tuwalinde wote hapa.Watu wamepumzika acha niwalinde!!
Basi umebakiza dakika zako 22Ikifika saa 11 nitalala, sio kama nina usingizi ila bora nilale kupumzisha kichwa.
Wanalala siku hizi wameshachoka.Watu wa humu siku hizi wavivu kuchat, lindo wanaacha sijui wanakimbilia wapi?!
Na huku upo4:10
Nakukabidhi lindo, usisahau kufunga!Wanalala siku hizi wameshachoka.


