Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,876
- 51,676
Kichwa chako kina nini boss00:45
26/09/2020
Kichwa chako kina nini boss00:45
26/09/2020
HongeraNdo nimemaliza game ya kwanza heehee
hivi huwa tunachat kwenye uzi ambao mwanzishaji analala mapema katulia kila usiku, sijawahi ona hamasa zake currently.02:05 God bless you all, have a nice weekend.
Jana na leoTulio macho kodo tujuzane
I can do that everydayHongera Dollar hermees kwa kutuwakilisha vizuri leo. Mi ndo nimekuja kufunga malango na kukusanya sirah![]()
You're most welcomeI can do that everyday
Kabisa jana ulinifanyia hiko kitu nikajikuta nashtuka asubuhi.Raha ya usingizi ukunyemelee
Umeshaandaa nguo za kanisani?Jumapili tayari?
Umeme umekatika....Umeshaandaa nguo za kanisani?
Kwahiyo hutoenda church!Umeme umekatika....