Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,451
Muweke picha sasa
Amazon Woman nakusalimia Atlantis man.1:30 am
Brother man, I have aquaphobia don't think if I can make a visit...Amazon Woman nakusalimia Atlantis man.
Can you live under water if I can invite you to visit my aqua home?
Mkuu sare zilikua hazijakaukaleo lindo kumepooza kweli.
Tupo pamoja anko0210
huna pair nyingine hadi usubiri ikauke mkuuMkuu sare zilikua hazijakauka
Nataka na mie nionekane mlinzi msafi lindoni maybe naweza pandishwa cheo na mshahara 😂😂 na zile nyingine naona mpauko wa hatarihuna pair nyingine hadi usubiri ikauke mkuu
Kheri tu mkuu, waendeleaje?Habari za siku mbili tatu hapa lindoni.?
Namshukuru Muumba wa mbingu na nchi naendelea vyema. Ni majukumu tu muda mwingine yanatufanya tusionekane lindoni, ila naimani hata wewe unaendelea freshKheri tu mkuu, waendeleaje?
Mimi nipo salama kabisa mkuu ashukuriwe muumbaNamshukuru Muumba wa mbingu na nchi naendelea vyema. Ni majukumu tu muda mwingine yanatufanya tusionekane lindoni, ila naimani hata wewe unaendelea fresh