Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Kweli kutesa kwa zamu naww umepata wanyonge wako sio.Nishasahau mambo ya jirani kupiga kelele mie nikiamka ndo dj huku kitaa ninakiwasha hapa .


Kweli kutesa kwa zamu naww umepata wanyonge wako sio.Nishasahau mambo ya jirani kupiga kelele mie nikiamka ndo dj huku kitaa ninakiwasha hapa .


Hahaha kabisa mtaa umepoa sana huu lazima pachangamke kidogo .Kweli kutesa kwa zamu naww umepata wanyonge wako sio.![]()
Hela ndio inachangamsha watu na sio muzikiHahaha kabisa mtaa umepoa sana huu lazima pachangamke kidogo .


Acha tujifurahishe hela hamna sasa tutafanyaje .Hela ndio inachangamsha watu na sio muziki
Acha nilale nimeshazima taa zote za nje ata nikilala mpa saa 4 huko hakuna mtu atakaye juwa maana taa zimezimwa.
Unajitahidi sanaHela ndio inachangamsha watu na sio muziki
Acha nilale nimeshazima taa zote za nje ata nikilala mpa saa 4 huko hakuna mtu atakaye juwa maana taa zimezimwa.
Nipo hapa afandeNimekuja kufunga lindo. Habari za kipindi kilichopita
safi kabisaa![]()
![]()
Sawa kaka mkubwa na chora na msitari kabisa kuonesha Emphasize.
Only one minute left ingawa najua watakaoendelea.Nipo hapa afande
Na ndio muda wenyewe sasaOnly one minute left ingawa najua watakaoendelea.
ingia home lindo lishafungwa mkuu
Changamoto za kimaisha mkuu wangu. Ila usiwaze soon tutarejea na kijana wangu Super Villain
Mzee mbona mapema sanaingia home lindo lishafungwa mkuu
Mzee mbona mapema sana
Changamoto za kimaisha mkuu wangu. Ila usiwaze soon tutarejea na kijana wangu@Super Villain
Mzee hii mikwara na shutuma ni nzito. Kwa kifupi niliondoka nae. Kwa kuwa nimerejea naye soon utamwona hapaSitawasamehe kwa kufukuza ndege wangu mnana chiqutitta