simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
endelea kujimwambafaiKule huwa siachi kupita kuna wapuuzi wangu lazima niwaonege vichwa maji.
endelea kujimwambafaiKule huwa siachi kupita kuna wapuuzi wangu lazima niwaonege vichwa maji.
😂😂😂 sawa mkuu haina shida.. unalijua lile chimbo ambalo halilaliUbaya nikikuambia nikama unaleta nuski we mtt ndio maana mdomo nimetia [emoji55] nikimaliza nitakusimulia kwahiyo kaa kwa kutulia.
Angalia usinase ww alafu ni ile avatar ndio tatizo aah [emoji17]endelea kujimwambafai
Sitaki hata kukudokezea siku, wala week mtt unazengwe sana ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa mkuu haina shida.. unalijua lile chimbo ambalo halilali
Sina shidaHuna shida saiz ww?
Uwo najua utaulipa kivyovyote.Sina shida
Nikiamua kulala mchana mpaka niamue la sivyo usiku ndo nitalala mapema ili kufidia usingizi huu .
Hao kunguni usiwataje mzee [emoji30]Bila hii mchanganyiko hakunaga usingizi zaidi ya kupeana kesi na mbu, kunguni na mende
kwamba huwa nakuharibia vismati vyako. poa dogo ila usije tafuta sababu ya kushindwa kwakoSitaki hata kukudokezea siku, wala week mtt unazengwe sana ww [emoji23][emoji23][emoji23]
tatizo lopo lopo sana ww wala sio avatarAngalia usinase ww alafu ni ile avatar ndio tatizo aah [emoji17]
Aaah wapi hii sio mission impossible kaa mkao wakula ww ndio ulifeli [emoji23][emoji23][emoji23]kwamba huwa nakuharibia vismati vyako. poa dogo ila usije tafuta sababu ya kushindwa kwako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumbe ndio nipo hivyo!tatizo lopo lopo sana ww wala sio avatar
Yah hii ni serikali ya awamu ya 5 vijana ni wapya kabisa humu.Sijatia mguu lindoni kitambo sana, nikiangalia naona wajumbe wapya watupu
UmeanzaujingaYah hii ni serikali ya awamu ya 5 vijana ni wapya kabisa humu.
YesUwo najua utaulipa kivyovyote.
Tulia we mzee mm mwenyewe ni chadema usinifokee sawa [emoji23] [emoji23] [emoji23]U
Umeanzaujinga
Juzi nimekuuza [emoji4] ila tulia nitakuonyesha usizani nimesahau nakumbuka na ujumbe wako niliupata mm ndio niliyeyusha [emoji17] nilibadili gear angani.
Acha nikae kimya wenye kustahili pongezi zao watajibu [emoji17]Achubuhi njema guys[emoji16][emoji16]
Ndo maana nikashangaa nimekutumia sms haukujibu nilikuwa nishahadithia watu kuhusu hilo chimbo ila sio mbaya unaweza kunielekeza nikaenda maeneo hayo .Juzi nimekuuza [emoji4] ila tulia nitakuonyesha usizani nimesahau nakumbuka na ujumbe wako niliupata mm ndio niliyeyusha [emoji17] nilibadili gear angani.