Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,953
Kwa nini wasema hivi ?Acha nikae kimya wenye kustahili pongezi zao watajibu [emoji17]
Kwa nini wasema hivi ?Acha nikae kimya wenye kustahili pongezi zao watajibu [emoji17]
Achubuhi njema guys[emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yani na ww ukatangaza [emoji119] ukawa unasubiria [emoji22] basi tulia nitakuonyesha.Ndo maana nikashangaa nimekutumia sms haukujibu nilikuwa nishahadithia watu kuhusu hilo chimbo ila sio mbaya unaweza kunielekeza nikaenda maeneo hayo .
Kwani ww ujaona hizo pongezi ni zauchochezi kabisa [emoji23][emoji23][emoji23] huyo mwanachi ametuma.Kwa nini wasema hivi ?
😂😂 wewe elewa nilichokisema. usiongeze usipunguze meku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumbe ndio nipo hivyo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sawa kaka mkubwa na chora na msitari kabisa kuonesha Emphasize.[emoji23][emoji23] wewe elewa nilichokisema. usiongeze usipunguze meku
Haya unitumie picha si unajua napenda mambo hayo .[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yani na ww ukatangaza [emoji119] ukawa unasubiria [emoji22] basi tulia nitakuonyesha.
Muda unakimbia mno05:10
Kama vp nitakufungashia kabisa [emoji12]Haya unitumie picha si unajua napenda mambo hayo .
Mimi nimeona kama salamu ya kawaida .Kwani ww ujaona hizo pongezi ni zauchochezi kabisa [emoji23][emoji23][emoji23] huyo mwanachi ametuma.
Kweli ? nisije kujipa hopes bureKama vp nitakufungashia kabisa [emoji12]
Watu hatujala kabisa ujue kwahiyo hiyo salaam inaashiria kuwa kumekucha alafu mm nilitaka pasikuche mpaka nilale [emoji17]Mimi nimeona kama salamu ya kawaida .
Embu kaa kwa kutulia kwanza tuliza kimuwe muwe itaanza picha alafu hiko kifurushi nitakufikiria we mwenye nyota ya simba.Kweli ? nisije kujipa hopes bure
Pole aisee mie nasubiri kumi na mbili ifike nianze mishe nishajiset hapa .Watu hatujala kabisa ujue kwahiyo hiyo salaam inaashiria kuwa kumekucha alafu mm nilitaka pasikuche mpaka nilale [emoji17]
Nilale mpaka saa 3 basi sijui kama nitapata huo usingizini maana na jirani yangu anapiga sana muziki asubuhi.Pole aisee mie nasubiri kumi na mbili ifike nianze mishe nishajiset hapa .
Hahaha mimi nina nyota ya simba kivipiEmbu kaa kwa kutulia kwanza tuliza kimuwe muwe itaanza picha alafu hiko kifurushi nitakufikiria we mwenye nyota ya simba.
Haya [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha mimi nina nyota ya simba kivipi
Ufikirie juu ya hilo .
Nishasahau mambo ya jirani kupiga kelele mie nikiamka ndo dj huku kitaa ninakiwasha hapa .Nilale mpaka saa 3 basi sijui kama nitapata huo usingizini maana na jirani yangu anapiga sana muziki asubuhi.