Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,963
03:40
Says who?.,Siamin kama simba leo natawala peke yangu
Tusali japo kidogo jmn.,muda mzuri huu03:40
Wewe Mungu wetu, muumba wa mbingu na nchi tunakushukuru kwa ajili ya usiku huu ambao umekua wenye baraka tele.Tusali japo kidogo jmn.,muda mzuri huu
Mungu aturehemu🙏🏽
Aaarh usingizi sina kbsaSays who?.,
Umekosa usingizi kama mimi?.

Ammeen🙏🏽🙏🏽Wewe Mungu wetu, muumba wa mbingu na nchi tunakushukuru kwa ajili ya usiku huu ambao umekua wenye baraka tele.
Tunakusihi utusamehe dhambi zetu na makosa yetu, sisi ni watoto wako, tunaikabidhi mipango yetu yote mikononi mwako, bariki mawazo yetu, bariki kazi za mikono yetu, ponya wenye shida nao taabu mbali mbali. Kwako peke yako kuna uponyaji na faraja ya kweli.
Tunapokwenda kwenye kipindi cha uchaguzi tunakusihi ukasimame wewe mwenyewe, wewe ukawe kiongozi wetu Mkuu.
Tunaomba mambo haya na yale ambayo hatukuyaomba ukapate kutubatikia kama mapenzi yako na si kwa mapenzi yetu. Amen
Poleh.,mi niliwahi kulala saivi nmekua popo😃Aaarh usingizi sina kbsa
Nahesabu mabati tu hapa
Beautiful Prayer..imenibariki..Wewe Mungu wetu, muumba wa mbingu na nchi tunakushukuru kwa ajili ya usiku huu ambao umekua wenye baraka tele.
Tunakusihi utusamehe dhambi zetu na makosa yetu, sisi ni watoto wako, tunaikabidhi mipango yetu yote mikononi mwako, bariki mawazo yetu, bariki kazi za mikono yetu, ponya wenye shida nao taabu mbali mbali. Kwako peke yako kuna uponyaji na faraja ya kweli.
Tunapokwenda kwenye kipindi cha uchaguzi tunakusihi ukasimame wewe mwenyewe, wewe ukawe kiongozi wetu Mkuu.
Tunaomba mambo haya na yale ambayo hatukuyaomba ukapate kutubatikia kama mapenzi yako na si kwa mapenzi yetu. Amen
Poleh.,mi niliwahi kulala saivi nmekua popo![]()

tutakoma,, hapa nabadirisha maeneo tu mara jf mara insta, fb ilimradi pakuche. Karbu0414
nimepita mara moja, mko poa?
Mi nasubr walau 11:30 nianze ratiba zangututakoma,, hapa nabadirisha maeneo tu mara jf mara insta, fb ilimradi pakuche.
Macho meupee
Tuko powaa sijui wewe?.0414
nimepita mara moja, mko poa?
Niko mzima wa afya, namshukuru Mungu, hofu yangu wewe uliye mbaliTuko powaa sijui wewe?.
Na imekua, Amen.0425
Mungu awajalie nyote siku njema ya leo na wiki njema tunayoianza
Mipango yetu na maisha yetu tunaiweka mikononi mwako Mungu wetu
*Sala ya Bwana*
Amen![]()
Yeah kujiandaa kwenye majukumu ya kujenga taifa .Mi nasubr walau 11:30 nianze ratiba zangu
0500Mi nasubr walau 11:30 nianze ratiba zangu