Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Chocho ukiwa unakaba!ulitaka unione wapi
Chocho ukiwa unakaba!ulitaka unione wapi
Kha unaniita Mkuu hujanijua kwa id hiisalama mkuu. karibu tuendelee kushangaa humu
nilimiss lindo nikaona nikae hadi lifungwe kwa mara ya kwanza 😊Chocho ukiwa unakaba!
Acha utani [emoji15] ila ww sindio muda wako huu utafidia hata mchana.Pole aisee mimi nilishtuka nikawa najibu sms ndo mpaka sasa nipo macho usingizi huo umepotea .
Nipo na Balimi ya baridi mixer konyagi, Imani yangu ni kwamba asubuhi Bado dakika chache Sana ifikeUpo na silaa gani hapo mkubwa unipatie.
kitambo sijaingia humu. kama hutojali kunikumbushaKha unaniita Mkuu hujanijua kwa id hii
Leo nilikuwa na mambo mengi nikawahi kulala nilikashtuka saa tisa hivi .Ujalala mpaka saiz unasubiria nn na ww?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mtt mdogo huyo hata muandiko ajui!Kha unaniita Mkuu hujanijua kwa id hii
Rorykitambo sijaingia humu. kama hutojali kunikumbusha
Vp hakuna mtu wa kumtoa damu huko?nilimiss lindo nikaona nikae hadi lifungwe kwa mara ya kwanza [emoji4]
Hahaha upo vizuri kujua miandiko ya watu aisee wengine hatuna kipaji hicho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mtt mdogo huyo hata muandiko ajui!
Balimi mzee wangu ukimix na nyagi alcohol siimeshafika 100% mbubwa? [emoji23][emoji23]Nipo na Balimi ya baridi mixer konyagi, Imani yangu ni kwamba asubuhi Bado dakika chache Sana ifike
huku naona peupe tu hamna hata dalili. vipi hukoVp hakuna mtu wa kumtoa damu huko?
sawa mshindi wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mtt mdogo huyo hata muandiko ajui!
Hapa si CIA kitendo cha kijasusi ukichora tu umeshatupa code.Hahaha upo vizuri kujua miandiko ya watu aisee wengine hatuna kipaji hicho
Rory
Noma kweli baadaye na kesi ya kujibu [emoji23][emoji23]huku naona peupe tu hamna hata dalili. vipi huko
hahaa unajikuta CIA 😂😂 na lile ID lako la kichina pande flaniHapa si CIA kitendo cha kijasusi ukichora tu umeshatupa code.