Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Umemuamini mdau badala ya kuniamini Mimi ninayekwambia?Hahahaha ,hy location kuna mdau dizaini anajua kaikataa ,but mpk next time ikitokea
Umemuamini mdau badala ya kuniamini Mimi ninayekwambia?Hahahaha ,hy location kuna mdau dizaini anajua kaikataa ,but mpk next time ikitokea
Hahahaha, hamna ilikua shavu kweli ,tena shavu la maanaKwahiyo ulikuwa unanitamanisha tu?
PowaHaya bana,nimeshindwa mm ,next time itakua poa
Wacha utaniHahahaha, hamna ilikua shavu kweli ,tena shavu la maana
Mmmmh huyo mdau inaonekana mko wote huko ,but usihofu next time mapema tuuuUmemuamini mdau badala ya kuniamini Mimi ninayekwambia?
Hahahaha, mm sio Boss RafikiPowa
Uwe na safari njema boss..wasalimie huko
HahahahaWacha utani
Nipe basi
Huwezi nitamanisha ukaniacha hivihiviHahahaha
Sawa brotherHahahaha, mm sio Boss Rafiki
Huyo Yuko town mbeyaMmmmh huyo mdau inaonekana mko wote huko ,but usihofu next time mapema tuuu




Wale wa kufunga lindo hamfiki tu??
Litabaki wazi
Funga tuWale wa kufunga lindo hamfiki tu??
Litabaki wazi
Si ndio mko wote auHuyo Yuko town mbeya
Unatakaje sasa kwa mfanoHuwezi nitamanisha ukaniacha hivihivi
HahahahaSawa brother
Mimi pia nifaraja kukuona tena, nilibadili ID ndiyo maana, Corona ilikuficha sana, cha msingi uhai inafariji kama ni mzima wa afya karibu tena mpendwa,
KumbeKumbe ni wewe ulikuwa ukijiita Guruguja!!