Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Kuwa na hila ni kuwa na moyo unaofanya vitu viwili ambavyo vinapingana kwa wakati mmoja. Ni kama vile kumjibu mtu kwenye simu "nakula muda huu" kumbe unakata mitaa na mafyati kuelekea Sangu sec kwa mguu.
Nadhani umeelewa



nimeachaSangu shule yangu



