Leo umetembelea kwenye lindoUwe na amani hapa ni salama kwa wote, kikubwa ni nidhamu ya kazi
Karibu umalizie lindo umebaki muda mchacheNimefika kwa ajiri ya ukaguzi wa lindo na ubadilishaji wa zamu![]()
Bado kama dk tano. Yafanyike mabadiliko ya zamu 🙂🙂Karibu umalizie lindo umebaki muda mchache
Kabisa wala hujakosea ikawe wiki ya mafanikio ktk kujenga taifa letuBado kama dk tano. Yafanyike mabadiliko ya zamu![]()
Amen. Ikawe na ikawe hivyo.Kabisa wala hujakosea ikawe wiki ya mafanikio ktk kujenga taifa letu
Hahahaha excess love mkuu😀😀
Na kwako piaJumatatu njema walinzi
0559
Hahahaha, hapanaAaah unanikana hadharani?
Mimi pia nifaraja kukuona tena, nilibadili ID ndiyo maana, Corona ilikuficha sana, cha msingi uhai inafariji kama ni mzima wa afya karibu tena mpendwa,Nimefurahi sana kukuona tena best, koona ilikuwa imenificha![]()
Nilipotelea karantini mkuu!☺Ulipotelea wapi mkuu?
Karantini imekunyoosha najua😊😊Nilipotelea karantini mkuu!☺