Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,404
- 29,370
Kumbe
Tushamjua
Kumbe
Shavu lanipita[emoji134]Unatakaje sasa kwa mfano
HapanaSi ndio mko wote au
MmmmhHapana
Unabisha?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mmmmh
Hahahaha, mtajua nyie RafikiUnabisha?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bro yuko mbeya, Mimi sipo huko wala sipo mazingira karibu na huko na ndiyo maana akaguna.
Tunajua tayari [emoji4]Hahahaha, mtajua nyie Rafiki
Muda badoWalinzi wenzangu mmelala?
Pande za Kiga hapa hakuna matata, upepo unabarizi kwa kilometa20 kwa saa kutoka pwani mororo ya bahari ya Hindi...
Nimekatisha usingizi kwa kazi maalum ya ulinzi
Mda bado....Walinzi wenzangu mmelala?
Pande za Kiga hapa hakuna matata, upepo unabarizi kwa kilometa20 kwa saa kutoka pwani mororo ya bahari ya Hindi...
Nimekatisha usingizi kwa kazi maalum ya ulinzi
We mzee utakula mtama ule wa adam ni mdogo, nitakuzoa kimo cha ng'ombe [emoji1787][emoji1787]..Kumbe ni wewe ulikuwa ukijiita Guruguja!!
Tukutane baadae nikupe vitasa mpinzani wangu[emoji23][emoji23]Nimepitia list ya walinzi leo na nimetia tick kwa wote, hongereni sana.