Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,400
- 29,344
Mkuu bangi ya Arusha ninayo nataka nikupe Ncha Kali ili ikupoteze network kabisa, tatizo unamzingua sana yna2
,
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataja bangi, nikuitie Mchomvu.?



Mkuu bangi ya Arusha ninayo nataka nikupe Ncha Kali ili ikupoteze network kabisa, tatizo unamzingua sana yna2
,
Sent using Jamii Forums mobile app



Nimetoka kupiga mosh 3Unataja bangi, nikuitie Mchomvu.?![]()

Unataja bangi, nikuitie Mchomvu.?![]()
Lile limtama la adamu ni lakuombea mkopo, mpaka mbasha mbavu zinaumaHujambo mwenzaPopo wenzangu nawasabahi!
Sijambo dear, za siku?Hujambo mwenza
Safi, nilijua utakataaSijambo dear, za siku?
Kuitwa mwenzakukataa nini?
Kuitwa mwenza


Hivi ni mwenza kwa nani vile? Maana ninachokumbuka ni kwamba mie ni wifiyo kwa pacha zako
Mimi pia nimesahauHivi ni mwenza kwa nani vile? Maana ninachokumbuka ni kwamba mie ni wifiyo kwa pacha zako
![]()

uwifi na wewe nilikataa kabla hata haujakuwepoHahahaaa sasa huoni kuwa huo wenza haupo? Hivi kwanini hunitaki wakati kaka zako wananikubali?Mimi pia nimesahauuwifi na wewe nilikataa kabla hata haujakuwepo
Wanakukubali wapi bwana we niamini mimi shauri yakoHahahaaa sasa huoni kuwa huo wenza gani? Hivi kwanini hunitaki wakati kaka zako wananikubali?
Haya bwana nimekubali kushindwa, basi tafuta namna nyingine ya kuitana nami mbali na hiyo "mwenza"Wanakukubali wapi bwana we niamini mimi shauri yako
Mimi naona hiyo ndio nzuriHaya bwana nimekubali kushindwa, basi tafuta namna nyingine ya kuitana nami mbali na hiyo "mwenza"
Siitaki, vinginevyo uniambie huyo tunayemchangiaMimi naona hiyo ndio nzuri
