Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,654
Na wenyewe ndio weweNgoja niende kuzurura ,naona SAA hz lindo lina wenyewe
Na wenyewe ndio weweNgoja niende kuzurura ,naona SAA hz lindo lina wenyewe
Unaona mambo yako, bado unataka nikubali uwe wifi yanguAaaah nimekumiss mpaka naumwa![]()
Dah mm nishazeeka ,nawapisha vijanaNa wenyewe ndio wewe
Nikifika nitakwambia, nisimwage mchele kwenye kuku wengi!Mmmmh hazina gani
Mtu chakeeeeee! Wewe ni mgeni hapa? Sisi ni wakongwe waanzilishi, tulia kaka.Mmmmh, ume miss watu wangapi tena jamani ,doh
Hahahaha, mm ananiingiza chaka tu ,sio kweliUnaona mambo yako, bado unataka nikubali uwe wifi yangu
HahahahaNikifika nitakwambia, nisimwage mchele kwenye kuku wengi!
Nimemiss wachache walio spesho kwanguMmmmh, ume miss watu wangapi tena jamani ,doh
Oooh ahsante kwa hili walau wewe umenimissNimemiss wachache walio spesho kwangu
Kama nakufahamu vile....au nakufananisha?
Ndiyo hujakosea, kwani ulipotelea wapi vile,Sasa nifanye nini na wewe unanibania kwa kaka zako? Umesahu kuwa unaponifungia mlango mmoja mingine mingi hufunguliwa kwaajili yangu?Unaona mambo yako, bado unataka nikubali uwe wifi yangu
Hapana nami ni mgeni maeneo haya mnayoongelea ya kumiss anaMtu chakeeeeee! Wewe ni mgeni hapa? Sisi ni wakongwe waanzilishi, tulia kaka.
Nimefurahi sana kukuona tena best, koona ilikuwa imenificha![]()
![]()
Ndiyo hujakosea, kwani ulipotelea wapi vile,

Karibu sana,njoo uchukue silaha uingie lindoniHey guys, new member pande hizi, nkarbshen plz
Aaah unanikana hadharani?Hahahaha, mm ananiingiza chaka tu ,sio kweli
Nimekuja, na Anzio sasa hamtonikosa humuKaribu sana,njoo uchukue silaha uingie lindoni
Uwe na amani hapa ni salama kwa wote, kikubwa ni nidhamu ya kaziNimekuja, na Anzio sasa hamtonikosa humu