Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
😂😂
😂😂
Masikini weehhh..pole yake
😂😂😂Kesho nitamnunulia simu mpya, acha kwa leo ajifunze.
yna2 mamilooooo mlinzi hodari nakusalimia popote ulipo nakuomba uje kambini hapa, washikaji wengine wote nawasalimu
Mlinzi mtiifuWow! Mwambie...
I'd climb every mountain
Okay....
And swim every ocean
But why....
Just to be with you
Then what..
And fix what I've broken
Okay
Oh, 'cause I need you to see
That you are the reason [emoji847]
Nimewapenda bure wale maharusi wanao trend tiktok na hiyo nyimbo...
Nipo nacheki usalama.. nimefurahi kukuona mlinzi wa zamuyna2 mamilooooo mlinzi hodari nakusalimia popote ulipo nakuomba uje kambini hapa, washikaji wengine wote nawasalimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Niambie kamanda
Mbona kama mdau anakufuatilia life yako kimtindo, anakununulia vocha?Inapendeza
😂😂Mbona kama mdau anakufuatilia life yako kimtindo, anakununulia vocha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha fujo, japo usivuke mipaka, kila mtu ana uhuru wa kutumia chombo hichi JF kwa kumnufaisha, sasa unapoingilia uhuru wake haipendezi,Ooh hicho sijali, hainistui!
Mkuu bangi ya Arusha ninayo nataka nikupe Ncha Kali ili ikupoteze network kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], tatizo unamzingua sana yna2 [emoji33][emoji33],Iceberg9 kaporwa simu yake Taifa, kwa leo tusitarajie kumwona lindoni.
Mkuu bangi ya Arusha ninayo nataka nikupe Ncha Kali ili ikupoteze network kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], tatizo unamzingua sana yna2 [emoji33][emoji33],
Huyo nishaanza uzoea ukorofi wake...na sijui kapotelea wapi ..aje ajibu sakata la wewe kuporwa Simu taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo hapaa [emoji12][emoji12][emoji12], kama kawa mtu wanguMasikini weehhh..pole yake
Nimeshamjua mchawi wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kesho nitamnunulia simu mpya, acha kwa leo ajifunze.