Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,953
That's nice
That's nice
Mimi zaidi nimefurahi mno, hofu kwako njo tulisongeshe, ulinzi bila nyimbo sielewi leo wadau hamjawa na nyimbo ya sikuNipo nacheki usalama.. nimefurahi kukuona mlinzi wa zamu
Usikimbie kama jana mambo ya kureje baadae lazima tupishaneNiambie kamanda
Mwambie hebu atume vocha kwanza huyu ntu Ncha Kali ndiyo aku control[emoji23][emoji23]
Nawe umeliona hilo..labda anataka aanze ninunulia hizo vocha
Nashukuru Sana..hahahaha..leo zamu yako kuleta nyimbo wengine tuburudike😜Mimi zaidi nimefurahi mno, hofu kwako njo tulisongeshe, ulinzi bila nyimbo sielewi leo wadau hamjawa na nyimbo ya siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nataka nikukimbie Nina usingizi sana
Usilale chief lete mambio hapo macho makavu kimtindo hapa, lete draftiThat's nice
Jamaa sii mtu mzuri..kweli tena
Dooooooooo[emoji849][emoji849][emoji849] okey basi poa utanikuta ukirudi, ninakaza leoNa nataka nikukimbie Nina usingizi sana
Mbona umeniquote kiume hivyoUsilale chief lete mambio hapo macho makavu kimtindo hapa, lete drafti
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 Wewe huyo ukaze!! Jana nilirudi nikaona jiiii...nitarudi kwenye 11 au nisirudi kabisa..maana nikiangusha hapa ndiyo imetoka hiyoooDooooooooo[emoji849][emoji849][emoji849] okey basi poa utanikuta ukirudi, ninakaza leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakaza mzee, cha msingi lindo lisiwe la kipweke au sioMbona umeniquote kiume hivyo
Leo hauna usingizi eeh ?
Hahhha kweli aisee
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Jana nilipitiwa kijinga, ila leo nakaza bulb [emoji362] ipo on, tatizo unanikimbia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe huyo ukaze!! Jana nilirudi nikaona jiiii...nitarudi kwenye 11 au nisirudi kabisa..maana nikiangusha hapa ndiyo imetoka hiyooo
Sikukimbii...usingizi noma unanizidi akili[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Jana nilipitiwa kijinga, ila leo nakaza bulb [emoji362] ipo on, tatizo unanikimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
Snoring [emoji42] kama nakuonaSikukimbii...usingizi noma unanizidi akili