Umetoa wapi funguo?00:11
Kwahiyo nisihamie mtaa wa kumi? Hahahah! bila shaka hawa ni paka wako sio bureHahahaha palipo na Bundi hapakosi paka, na Hawa viumbe hutegemeana kwa asilimia kubwa
Vumilia tu hao ndo jirani zako wa kwenye viroba na balimi![]()
Umesahau ulikuwa umelala nazo hapi nimechukua.Umetoa wapi funguo?
Ndo maana nikikumbuka zamani huwa naliaMze wa busara...akilia nyauuu!!!! Zamani kulikua na mziki.
ama kweli ya kale ni dhahabu. Jaby'z tafadhali rudisha funguo yetu,nisijepewa kesi bure maana watu wa humu kwa kupenda kesi hawajambo0445 Aliyempa funguo yule mgeni nani! hili geti leo litafungwaje sasa ameshasepa nayo leo watu wataingia mpaka asbh humu watatuharibiaaaaa.

Funguo nilimkabidhi Jaby'z katokomea nazoUmesahau ulikuwa umelala nazo hapi nimechukua.
Wacha nirudi kulala tena![]()
![]()
Usiku mwema wasalimie wote.

Hahahaha wamekua wangu tena..Kwahiyo nisihamie mtaa wa kumi? Hahahah! bila shaka hawa ni paka wako sio bure

Kuna kitu natamani kuuliza hapa, ila bahati yako umekimbiaUmesahau ulikuwa umelala nazo hapi nimechukua.
Wacha nirudi kulala tena![]()
![]()
Usiku mwema wasalimie wote.

Hahahaha wamekua wangu tena..
Wala usijihangaishe kuhama Mwinshehe mwenyewe hakuwahi kuhama![]()
![]()
Si alitangazia umma kuwa amehamia mtaa wa 7,ina maana alitudanganya?

Hahaha Ndio nabisha hodi nyumbani kwako tangu jana mpaka saivi sijafunguliwa getiNdo maana nikikumbuka zamani huwa nalia![]()
ama kweli ya kale ni dhahabu.
Nleterewa Nganengo unabisha?

Msubiri jje's utamwuliza kwa niaba....maana wamepeana shift mmoja akija huku mwingine anabaki na nyumbaKuna kitu natamani kuuliza hapa, ila bahati yako umekimbia![]()

tupoo.!!Popooooozz. Mpo?
Jaby'z tafadhali rudisha funguo yetu,nisijepewa kesi bure maana watu wa humu kwa kupenda kesi hawajambo![]()
![]()
