fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,686
- 24,005
Wanakuogopa!!
Wanakuogopa!!
kuna kikao mkuu?
Hivi hizi ulizotaja ndio ziko kule kaloleni au?Hivi wale wanaokuwaga the picnic na Shivas usiku si ndiyo wanasogea mpaka pinpoint?
Nakushauri kama huna maji ya baridi usiimalize hiyo chupa.
Huoni Ice Cube kwenye glass?Nakushauri kama huna maji ya baridi usiimalize hiyo chupa.
You're missed tooI missed you
Pinpoint ndio sehemu ya kumalizia. Wanaojielewa wanaelekea CocoricoHivi wale wanaokuwaga the picnic na Shivas usiku si ndiyo wanasogea mpaka pinpoint?
Town tu hapo karibu na Kilimanjaro express.
Ulishawatisha kwamba ukiwakuta mtaani utawasomba
Cocoriko ya kijenga ama triple A? Sema zote ziko fresh...Pinpoint ndio sehemu ya kumalizia. Wanaojielewa wanaelekea Cocorico
Oooh Sawa ,wengine hatujawahi kysafiri kufika hukoTown tu hapo karibu na Kilimanjaro express.
Hahahaha, nawasomba kuwapeleka bar ,sasa wanakaa kizembe tu ,bia anywe naniUlishawatisha kwamba ukiwakuta mtaani utawasomba
Ya kijenge fujo nyingi, bora ya Triple ACocoriko ya kijenga ama triple A? Sema zote ziko fresh...
Ya triple A nyama zao tamu 😋Ya kijenge fujo nyingi, bora ya Triple A
Hahahaha nilijua unawapeleka korokoloniHahahaha, nawasomba kuwapeleka bar ,sasa wanakaa kizembe tu ,bia anywe nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko wataenda kwa uzembe waoHahahaha nilijua unawapeleka korokoloni