fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,684
- 24,003
Mpaka mida hii? Supu yao vipi hapo iko fresh.?Pamoja mkuu mimi bado niko mitaa hii ya Mwailubi.
Niko home now ila naweza nikaibuka
Mpaka mida hii? Supu yao vipi hapo iko fresh.?Pamoja mkuu mimi bado niko mitaa hii ya Mwailubi.
Naku PM mkuu.Mpaka mida hii? Supu yao vipi hapo iko fresh.?
Niko home now ila naweza nikaibuka
Safi sana wimbo murua kwa muda huu...Spirit lead me (oceans)~ Hillsong United
Sure it's a nice songSafi sana wimbo murua kwa muda huu...
Hivi wale wanaokuwaga the picnic na Shivas usiku si ndiyo wanasogea mpaka pinpoint?wakuu kama kuna MTU yupo arusha town sahizi asogee hapa pinpoint club tujidungee, kuna kuna ofa ya mizinga minne ya vodka
I missed you1:03