Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,253
Tatizo huwa siwakuti humuNdo ujirekebishe kama umegundua huo ni uzembe
Tatizo huwa siwakuti humuNdo ujirekebishe kama umegundua huo ni uzembe
We ukifika hakikisha post yako ya ulinzi iko salama usijari kuna mtu ama la!Tatizo huwa siwakuti humu
Hahah!We ukifika hakikisha post yako ya ulinzi iko salama usijari kuna mtu ama la!
We cheka tu, utakapowajibishwa ndipo utakapoelewa hahaHahah!
Poleeeekwenye kitengo cha ulinzi leo sipo....
kiafya sipo njema, ivo niwatakie usk mwema
View attachment 1531571
Yani utoro wako ndo ulionipa ujasiri na mimi wa kutelekeza lindo 😂😂😂
Yani utoro wako ndo ulionipa ujasiri na mimi wa kutelekeza lindo![]()



urudi sasa mkuuMkuu tabia inatengenezwa taratibu ila ikikolea ni kazi sana kuitoa.urudi sasa mkuu
Mkuu tabia inatengenezwa taratibu ila ikikolea ni kazi sana kuitoa.
Mimi mkuu labla kwa sala na mfungo ndo naweza kuokoka na haka katabia



Mkuu majukumu ya uchumi wa kati yameanza kukaba???
Mi nimeamua niwe nahudhuria mchana tu
HamnaMkuu majukumu ya uchumi wa kati yameanza kukaba???
Kwa hiyo ukichelewa kulala unapungua ?Hamna
Ila usiku nalala mapema niongeze mwili
Ila kuongeza mwili si hadi uridhike au unataka kuniambia wahenga walituingiza mujini?Hamna
Ila usiku nalala mapema niongeze mwili
Wataalamu wa afya wanashauri tupate muda wa kutosha kupumzika..angalau masaa8Kwa hiyo ukichelewa kulala unapungua ?
Kuridhika huja pia kwa njia ya kupunzisha mwili inavyotakiwa.Ila kuongeza mwili si hadi uridhike au unataka kuniambia wahenga walituingiza mujini?