JamiiForums Usiku wa manane
Tatizo ni mitazamo tofauti bila kujali maslahi mapana ya nchi na bara letu la Africa.
Tupo huru lakini hatuna uhuru
Nakubaliana nawe 100%. Pale nchi inapoongozwa na sera za kiongozi binafsi bila kufuata sera za taifa katika maswala mapana ya mahusiano ya kimataifa.
Sijui kwenye mikutano ya jumuia na majirani zetu huwa tunadiscuss nini haswa kama mambo ambayo yanatugusa moja kwa moja hatuelewani
 
Zetu tumefungia kabatini tunatumia za kuambiwa tuu
 
Humu kuna mpenzi wa anime/manga? Na genre zingine ukiacha sci-fi za marvel, maana nimezimaliza zote mcu, xmen, spiderman zote, fantastic four, ghost rider, punisher, na zingine kibao...

Teremsheni hapa top ten zenu za all time best movies mlizoona.
 
Back
Top Bottom