Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Kuwa makini nao lakini nisije kinakuona kwenye magazeti ya Jumapili ukiwa umemwaga radhiNgoja nitafute wataaluma wa huu usafiri kweli![]()


Kuwa makini nao lakini nisije kinakuona kwenye magazeti ya Jumapili ukiwa umemwaga radhiNgoja nitafute wataaluma wa huu usafiri kweli![]()


Wewe kuwa hai na afya njema ina maana kubwa kwa wengi hata kama wewe huoniMwaka huu sijaona cha maana zaidi ya corona,umri unaenda mambo hayaendi
Ee plan nyingi zimefell alafu hata hela zetu za akiba tulizoweka zimetumika wakati wa QuarantineMwaka huu sijaona cha maana zaidi ya corona,umri unaenda mambo hayaendi

Ni kweli unachosema hili nalo ni lakumshukuru Mungu kabisa Dunia imepoteza watu wengi hakika.Wewe kuwa hai na afya njema ina maana kubwa kwa wengi hata kama wewe huoni
Word, nazungumzia kimaendeleo.Wewe kuwa hai na afya njema ina maana kubwa kwa wengi hata kama wewe huoni
Haha ila utarudi tuLindo chungu leo, nilikuja kwa jirani huku sasa safari zimefutwa ghafla😣😣😣
Mkuu acha tu,maisha mwaka huu yameenda tofauti na watu wengi walivyokuwa wanafikiriaEe plan nyingi zimefell alafu hata hela zetu za akiba tulizoweka zimetumika wakati wa Quarantine![]()
Njema mjumbe😊😊Habari za kipindi kilichopita wanalindo
Hata kwa mguu, nikisha vuka boarder tuu nimefanikiwaHaha ila utarudi tu
Waone wataalamu wa njia za panya watakuvusha fresh tu kwa malipo kiduchu.Hata kwa mguu, nikisha vuka boarder tuu nimefanikiwa
Usingizi unakuja kwa jirani huko? Najua ulipata mshtuko baada ya kusoma taarifa ya TCAANjema mjumbe😊😊
Jamaa uzee unamwingia sasa ila namkubali sana kwenye mission zakeMission impossible falloutView attachment 1523289
Yeah ni kweli,jamaa yuko njemaJamaa uzee unamwingia sasa ila namkubali sana kwenye mission zake
Wamenivuruga sana hawaUsingizi unakuja kwa jirani huko? Najua ulioata mshtuko baada ya kusoma taarifa ya TCAA
That was a hit back
Kuna baadhi ya matukio huwa anafanya kweli nje ya maelekezo ya Director na kufanikisha so budget yake upande wa tahadhari huwa inawekwa kubwa maana lolote linaweza kutokeaYeah ni kweli,jamaa yuko njema
Huu ugomvi sijui utaisha lini kati ya sisi majirani. Naona tunafanya mambo ya kukumoanaWamenivuruga sana hawa
Halafu wanamruhusu mchina mwenye virus wake sisi wanatufungia
Ni kweli,jamaa anajitahidi sana, mission impossible nimeangalia zote,jamaa anacheza michezo hatari sanaKuna baadhi ya matukio huwa anafanya kweli nje ya maelekezo ya Director na kufanikisha so budget yake upande wa tahadhari huwa inawekwa kubwa maana lolote linaweza kutokea