JamiiForums Usiku wa manane
Umenikumbusha miaka ya nyuma, ex wangu mmoja kaingia ndani tu akagundua kaanza kuvuja. Asingeweza kuendesha gari akiwa vile. Basi mie nikaamua nijilipue, nikaenda duka la karibu nikanunua brand na specification alizokuwa anataka, muuza duka akaanza kuifunga funga nikamwambia mfuko mmoja unatosha.

Kuanzia wakati huo uwa nnazo za akiba nyumbani incase of emergency.
Unanunua mpaka saiz lakini au ndio toka emergency ujanunua tena?
 
Back
Top Bottom