Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,174
- 10,445
Ngoja nikague tayari kukabidhi lindoHahahaha
Ngoja nikague tayari kukabidhi lindoHahahaha
Sawa Fanya hivyoNgoja nikague tayari kukabidhi lindo
Mimi ni KKKT rafiki...Hahahaha, uje tusali Rosary na novena au wewe upande mwingine
🤣🤣🤣🤣🤣rafiki tenzi za rohon zilikata nini🤪🤪Km uko msibani njoo huku nyuma kuna konyagi ya kutoa baridi
Jehovah🤣🤣🤣Aisee kweli. Mwambie na Tuti asogee huu msiba wa taifa tutalia kinyakyu, nitalia nikiwa kifua pa mtu na hiyo Nyagi
hahaha, kuimba na Baridi la usiku si mchezorafiki tenzi za rohon zilikata nini
![]()
Ahsante, nawe pia nimeamka salama ,sijui weweMimi ni KKKT rafiki...
Lakini kuna baadhi ya sala zenu huwa ninazisali na zinanibariki sana...
Asante kwa upendo.
Habari ya asubuhi lakini
Hv hii baridi ni tz nzima au kunasehemu nyingine kuna joto usiku🤔🤔hahaha, kuimba na Baridi la usiku si mchezo
Ninamshukuru Mungu kwa kunipa uzima na afya.Ahsante, nawe pia nimeamka salama ,sijui wewe
Hahahaha, sijajua ila huko porini kwangu hii Baridi cha mtotoHv hii baridi ni tz nzima au kunasehemu nyingine kuna joto usiku![]()
AmenNinamshukuru Mungu kwa kunipa uzima na afya.
Aiseeeh...hili li baridi lifanye liondoke tu..😔😔😔Hahahaha, sijajua ila huko porini kwangu hii Baridi cha mtoto
HahahahaAiseeeh...hili li baridi lifanye liondoke tu..![]()
Hakika hilo limedhihirikaUmuhimu na uwezo wetu ni mkubwa zaidi ya watu walivyokua wanatuchukulia
😁😁😁😁