Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,425
Mpo humu imarishe ulinzi nadhani mnajua tuko ktk hali gani
😔😔😔😔😔Mpo humu imarishe ulinzi nadhani mnajua tuko ktk hali gani
Mambo vipi wa kishua
Wewe tena😅😅Mambo vipi wa kishua
Hahahaha mm nipo poaWewe tena
Inakuwa poa sana namshukuru Mungu.sijui wewe
Ni heri...Hahahaha mm nipo poa
Wakishua mpk sasa hujalala unacheza play station nn
Hahahaha, karibu. Tuimbe Tenzi za RohoniNi heri...
Nililala saa tano saa nane usingizi ukakata..nikaona bora nije niungane na waombolezaji wenzangu![]()
Ni wimbo gani mnauimba kwa sasa ili twende pamojaHahahaha, karibu. Tuimbe Tenzi za Rohoni
Hahahaha, zaburi 101Ni wimbo gani mnauimba kwa sasa ili twende pamoja
Usiogope wa kishua,kila mmoja wetu atapitia hiliMungu atutie nguvu kwakweli..
Naogopa![]()
Ewaa ,asee we unafaa kuwa Rafiki wa kudumuNipe wimboView attachment 1515354
Ni ngumu kuepuka kuogopa pindi nisikiapo mtu ametoweka duniani aise😔😔Usiogope wa kishua,kila mmoja wetu atapitia hili
Hallelujah..karibu katika maisha ya urafiki mkuu..Ewaa ,asee we unafaa kuwa Rafiki wa kudumu
Usiogope bana Rafiki ,mm toka afariki bi mkubwa wangu kifo siogopi tenaNi ngumu kuepuka kuogopa pindi nisikiapo mtu ametoweka duniani aise![]()
Ahsante sana tuko pamojaHallelujah..karibu katika maisha ya urafiki mkuu..
Pole kwa kumpoteza mama Rafiki.Usiogope bana Rafiki ,mm toka afariki bi mkubwa wangu kifo siogopi tena
🥂🥂🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️Ahsante sana tuko pamoja
Ahsante Rafiki nishapoaPole kwa kumpoteza mama Rafiki.
Wacha niendelee kumkabidhi Mungu.hiki kiatu hakijawahi kumtosha binadamu yeyote