Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,245
- 90,421
Kabisa aiseh..😔😔Ahsante Rafiki nishapoa
Ni vzr kumkabidhi Mungu
🧚♀️🧚♀️Cheers
Ahsante,. Merci Rafiki
😊Ahsante,. Merci Rafiki
Hahahaha, uje tusali Rosary na novena au wewe upande mwingine
Imekuwa ghafla sana dah! Nimeamka nacheck twitter naona nkapa katutoka nikahisi macho yangu au fununu, nikazma JF napo yale yale...RIP anko Ben![]()
Km uko msibani njoo huku nyuma kuna konyagi ya kutoa baridiTumea.kia msibani
Ben hayupo
Aisee kweli. Mwambie na Tuti asogee huu msiba wa taifa tutalia kinyakyu, nitalia nikiwa kifua pa mtu na hiyo NyagiKm uko msibani njoo huku nyuma kuna konyagi ya kutoa baridi
HahahahaAisee kweli. Mwambie na Tuti asogee huu msiba wa taifa tutalia kinyakyu, nitalia nikiwa kifua pa mtu na hiyo Nyagi
Morning Glory uneiwahi?Hahahaha
Sisi walinzi tunapiga mchana kweupe watoto wameenda shuleMorning Glory uneiwahi?
HahahaaaSisi walinzi tunapiga mchana kweupe watoto wameenda shule
HahahahaHahahaaa