KabisaaMko poaaa?
Kama ulikuwepo rafiki yangu,nikaambulia sifuri😄Halafu umepotea sana Mjep au ulienda kuomba ridhaa ya wajumbe?
Wajumbe wana akili za ajabu 🤣🤣🤣🤣Kama ulikuwepo rafiki yangu,nikaambulia sifuri😄
Acha kabisa rafiki yangu wajumbe ni balaaa😆😆Wajumbe wana akili za ajabu 🤣🤣🤣🤣
Au wewe mwenyewe ulikua mjumbe mama DWajumbe wana akili za ajabu 🤣🤣🤣🤣
Kulikoni tena chiefkwenye siku mbaya nilizowai pitia Leo nimojawapo
Upo wapi?Hiki kiwinta ni huku tu, au na nyie mna ki feel
Lindoni mkuuUpo wapi?
Kuna locations za malindo mengine yanajoto mfano lindo la mlango wa Pwani ni joto, mlango wa nyanda za juu kusini ni balaa. We upo wapi?Lindoni mkuu
Ukanda wa mashariki ya pwani ya bahari ya hindiKuna locations za malindo mengine yanajoto mfano lindo la mlango wa Pwani ni joto, mlango wa nyanda za juu kusini ni balaa. We upo wapi?
Sawa hakikisha lindo linakuwa salama kwa kipindi chakoUkanda wa mashariki ya pwani ya bahari ya hindi
Tuko pamoja kamanda. OvaSawa hakikisha lindo linakuwa salama kwa kipindi chako
Naona walinzi wengi leo wametegaTuko pamoja kamanda. Ova
Hali ya hewa inashawishiNaona walinzi wengi leo wametega