JamiiForums Usiku wa manane
Leo usingizi umeyeyuka poa, ngoja niwaulize swali ni lakijinga wote naombeni majibu yenu wanawake kwa wanaume ungeweza kuwa uzi lakini sitaki acha niweke iwe topic fupi

Swali ni je? Wanawake huwa mnachukuliaje mtu wako wakaribu au rafiki yako akikununulia visodo (Ped) na

Nyie wanaume huwa mnautaratibu huo wakuwanunulia marafiki zenu au wapenzi wenu visodo?

mm ni kawaida yangu kuwanunulia Haya nataka majibu yenu Goddess Iceberg9 yna2 simiss Saint Anne Ncha Kali Depal Drizzle chiqutitta Jurjani amu Juakali jr mtu chake Kataskopos Night Support Stephen Chelu fyddell Equation x Mjep
Guys mko wengi sana siwezi recall majina yote but we are all fam
Akili za usiku maswali ya kiwaki
×××××××××××××NO OFFENSE××××××××××××
Haha nimecheka jinsi ulivyoziita peds vipodo labda ndivyo vinavyoitwa kwa kiswahili fasaha. Whatever it is
Actually for me ni kawaida kumnunulia nimpendae chochote aniombacho kama kipo ndani ya uwezo wangu. I feel proud mwanamke akiniomba nimnunulie kitu, that's a one way of showing how I care about her kitu kuitwa "unachunwa" hiko kwangu hakipo ingawa kuna mipaka.
Binafsi nishanunua sana pedi hata kwa mdogo wangu wakuzaliwa tumbo moja.
 
The wаy you shаke, bаby your wаist
I go give you аll my money lemme invest
Bаby you the best, of the best
Eh, I no go lie lemme sаy 'you got me fаll in love 🎶🎧🎤
 
I hope your lips don't lie
You're a fighter, I'm the fire
Make you fall in love in a minute
You're a leaver, I believe ya
Told me that you don't do commitment
You say it's not real

But you're really close
Don't know how you feel
But baby, I know you know how it's supposed to be

One hit, you're mine
I can tell your lips don't lie
When you kiss it right back
I can tell your lips don't lie
 
Back
Top Bottom