Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Nitakutumia tulia nnashusha mizigo saa hiziLeta best zozote.
Nitakutumia tulia nnashusha mizigo saa hiziLeta best zozote.
Aisee 1500 inaweza ikakufanya ukeshe [emoji23][emoji23] Kama utani kumbe ndio hali halisi [emoji91]Nitakutumia tulia nnashusha mizigo saa hizi
[emoji38] nmechoka hapa zuchu nae anaimba kama kalewa vibayaaaaAisee 1500 inaweza ikakufanya ukeshe [emoji23][emoji23] Kama utani kumbe ndio hali halisi [emoji91]
Acha utani ninayo iyona huku ni ipi sasa [emoji15] maana nilitaka niiweke iwe ya mwisho kuishusha.Mulan haijatoka
Inatoka august 21
Kasha choka huyu zuchu basi tu ndio hivyo lazima aimbe nyimbo zote watu washalipia show. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38] nmechoka hapa zuchu nae anaimba kama kalewa vibayaaaa
Unayo umeitoa wapi[emoji38]Acha utani ninayo iyona huku ni ipi sasa [emoji15] maana nilitaka niiweke iwe ya mwisho kuishushia.
Toka kaaamza anaimba utumbo tu mi sielew kipaji kikowap hapaKasha choka huyu zuchu basi tu ndio hivyo lazima aimbe nyimbo zote watu washalipia show. [emoji23][emoji23][emoji23]
Namsubiri Jet li kwa hamu na Donny yenKasha choka huyu zuchu basi tu ndio hivyo lazima aimbe nyimbo zote watu washalipia show. [emoji23][emoji23][emoji23]
Loh [emoji23][emoji23][emoji23] walikuwa wanibake kwa kweli ingekuwa na GB 2 ningeshapoteza muda kudownload umemuokoa ujue loh [emoji17]
Kwani mm naelewa basi [emoji23][emoji23][emoji23] nimeamua niweke huku na download vitu vyangu ilinisilale.Toka kaaamza anaimba utumbo tu mi sielew kipaji kikowap hapa
Ila James Cameroon ndio nn anafanya! Avatar zipo hadi 3 alafu anazibania hataki kuachia [emoji4]Namsubiri Jet li kwa hamu na Donny yen
[emoji38] ungekutana na movie ya wapi sijuiLoh [emoji23][emoji23][emoji23] walikuwa wanibake kwa kweli ingekuwa na GB 2 ningeshapoteza muda kudownload umemuokoa ujue loh [emoji17]
Qchana nayoKwani mm naelewa basi [emoji23][emoji23][emoji23] nimeamua niweke huku na download vitu vyangu ilinisilale.
Hahaha muda bado tulia wwIla James Cameroon ndio nn anafanya! Avatar zipo hadi 3 alafu anazibania hataki kuachia [emoji4]
We acha tu [emoji23] [emoji23] kumbe movie yenye bado kuna fala Tweeter ndio kanijaza upepo jana nikajua imetoka.[emoji38] ungelutana na movie ya wapi sijui