JamiiForums Usiku wa manane
.hahaha saiv mpka waganga wote wameeenda kuchkua fomu bas we ukajichanganya kwenda kwa mganga nliechukua fomu alaf mnagombea jimbo moja mkuu unapotezwa chap
Hahahaha, j3 naita vyombo vya habari kuwa najitoa ktk kinyang"anyiro hicho ,hii sasa balaa

Familia nzima hatuna usii,tuko macho tunacheki movie tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom