Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,577
- 5,780
Mkuu naomba niwe mpambe wako.🙂🙂Hahahaha, mm toka nichukue fomu nakurudisha, naona nazidi kukosa usingizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba niwe mpambe wako.🙂🙂Hahahaha, mm toka nichukue fomu nakurudisha, naona nazidi kukosa usingizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaidie kudownload kibuyu, nsyuka, shumileta na kihongwe 😊😊Mwenye kujua movie yeyote mpya aandike list ya majina anipe.
Unamatatizo wwNisaidie kudownload kibuyu, nsyuka, shumileta na kihongwe![]()


Labda nikudownloadie acrobat.I was only passing by. Usiku mwema wandugu
Halali huyo anajishauaLabda nikudownloadie acrobat.
Upo kwa zuchu leo eehI was only passing by. Usiku mwema wandugu
Genre gan na industry ganMwenye kujua movie yeyote mpya aandike list ya majina anipe.
Namjua vizuri awezi lala saiz.Halali huyo anajishaua
Upo kwa zuchu leo eeh

Leta best zozote.Genre gan na industry gan
Naangalia hiyo show ndio nazuga nayo hapa.Upo kwa zuchu leo eeh

kuna sehemu wanakutesa kwa hilo mkuu??Wasanii wakibongo kutamka lugha ya Kiingereza matamshi bado sana 'is' anatamka 'he's'![]()
Hawanitesi kabisa wakiamua kubadilika haya wasipo badilika shauriyao hawanisaidi chochote.kuna sehemu wanakutesa kwa hilo mkuu??