Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Hizi kesho nashusha leo nimeweka mzigo sijui kama utaisha kweli.Qchana nayo
Ss hv tafuta
1. Da five blood
2. The old guard
3. The assistant
4. Shirley
5.bacarau
Hizi kesho nashusha leo nimeweka mzigo sijui kama utaisha kweli.Qchana nayo
Ss hv tafuta
1. Da five blood
2. The old guard
3. The assistant
4. Shirley
5.bacarau
Na mzuka nayo hiyo Avatar.Hahaha muda bado tulia ww
6. The way backIla James Cameroon ndio nn anafanya! Avatar zipo hadi 3 alafu anazibania hataki kuachia [emoji4]
Mi nishashuaga na nishaangaliaga leo nashusha series tuHizi kesho nashusha leo nimeweka mzigo sijui kama utaisha kweli.
Mzigo wa kutosha huu [emoji119]6. The way back
7. Body cam
8. Capone
9. Relic
10.Adu
Hizi zinatosha mm nimedownload single nyingi na series 1Mi nishashuaga na nishaangaliaga leo nashusha series tu
1. Warrior nun
2. cursed
3. Snow piercer
Ah uvivu kuandika zipozipo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]0321 board room... ni muda wa taarab sasa ni kubambia tu .....
geti tuko wengi lindoHeheheh mlinzi nmewasili getiniiiiiih
Yeaaaaaaaaaah leo weekend tupo ulinzi muhimuuuuhgeti tuko wengi lindo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woyooooooooooooh3:00
Nachukua likizo mpaka mwezi wa 8..hiyo.
[emoji8][emoji8][emoji8]
Sio mbaya kabisa [emoji38]Hizi zinatosha mm nimedownload single nyingi na series 1
Leo kachangamka sjui kwannDomo kakimbia show [emoji23][emoji23][emoji23]
Natembea 800kb/s [emoji17] nipo slow kweliSio mbaya kabisa [emoji38]
Nataka niangalie wakorea 1 ya 2020 nishushe chap muda bado na naona mzigo wangu unatembea chapsana
Salamu kalewa analeta fujo [emoji23][emoji23][emoji23]Leo kachangamka sjui kwann
mi nalinda kwa kubambia nisamehewe kama nta-u-compromise ulinzi wakuuYeaaaaaaaaaah leo weekend tupo ulinzi muhimuuuuh
Huhuhuhuh haya bhana lolmi nalinda kwa kubambia nisamehewe kama nta-u-compromise ulinzi wakuu