Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Wakalale ssSalamu kalewa analeta fujo [emoji23][emoji23][emoji23]
Wakalale ssSalamu kalewa analeta fujo [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimebakiza movie 5 acha nilale nikiamka nitakuta zimemalizika.Wakalale ss
Haina tatizo ,subiri nishindeMkuu naomba niwe mpambe wako.[emoji846][emoji846]
Weekend kama siaz naziburuza toka saa 3 asubuhi naangalia mpaka jioni saa 4 usiku ndio naacha kuangalia.Wewe na Goddess kila siku ni kudownload movies, muda gani mnaziangalia sasa? [emoji23]
Mkuu punguza likes asee, zinatosha kwa leo ahsanteWeekend kama siaz naziburuza toka saa 3 asubuhi naangalia mpaka jioni saa 4 usiku ndio naacha kuangalia.
It's already done [emoji109] champ.Mkuu punguza likes asee, zinatosha kwa leo ahsante
Ulipo sasa hivi ni usiku wa manane?Weekend kama siaz naziburuza toka saa 3 asubuhi naangalia mpaka jioni saa 4 usiku ndio naacha kuangalia.
Mkuu unataka kumrithi chiquita wakati bado yu haiIt's already done [emoji109] champ.
Bado lipo wazi,Napita hiviiiiiih kukagua gate
Eti eeeeeeh baaas sawaaaahBado lipo wazi,
Siku hizi walinzi wanaondoka kimya kinya
Lifunge basi alafu tukutane ile mida yetuEti eeeeeeh baaas sawaaaah
Usijariiiiiiiiiih tayari imeshapita hiyooooooh.Lifunge basi alafu tukutane ile mida yetu
Hahaaaaa ni zuchu au chuchuUpo kwa zuchu leo eeh
Hivi kwani ni lazma uvujishe dots mzee 😂Labda nikudownloadie acrobat.