Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,429
- 95,911
Hahahaha, halafu weweHaya nitakupitishia
Hahahaha, halafu weweHaya nitakupitishia
Kulikoni?Hahahaha, halafu wewe
Sijafika hiyo Age unayo sema lakini kwetu hizo pigo hakuna na watu wamenipata more than 20+ years.Nyie mnaokataa shikamoo ndiyo mnakuwaga watu wazima vileja [emoji38]
Usipende short cut iyogope.Haijapooza kitu.
Naenda shule bila vishetiKulikoni?
5:00
Tuondoke sasaTime to sign out
Hili gate leo tena nalifunga mwenyewe kama jana.
Huu sio ulinzi unaofanya!.05:21
Huu sio ulinzi unaofanya!.
Umechelewa kuingia saiz 5:30 hii [emoji4]Kalale sasa nishafika!
Utawapata wengi kama ni hivyo.Nakagua waliosinzia lindoni.
Umechelewa kuingia saiz 5:30 hii [emoji4]
Au ndio mnaita monie glory ulikuwa unapata haki yako stahiki.Mambo ni mengi! [emoji847]
Kumbe haya mambo yana wenye! Haya kapambane na ukungu nje huo mm acha nivute shuka.Hayo mambo ya wakubwa kina Depal, mi nimeamka kufanya ibada... sasa naingia mazoezini.