Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,594
- 13,422
Mawingu yanakimbia sana usiku huu. Nipo nje nayacheki hapa.
YazuieMawingu yanakimbia sana usiku huu. Nipo nje nayacheki hapa.
Mawingu yanakimbia sana usiku huu. Nipo nje nayacheki hapa.


nazidi kuamini huu Uzi n special kwa mabachelorUmepata cha Arusha nini?Mawingu yanakimbia sana usiku huu. Nipo nje nayacheki hapa.
Hapana mkuu ila nahisi kuna jani fulani jipya jamaa yangu ameliongezea kwenye sufuria ya kujifukizia. Yaani mawingu nayaona yanakimbia balaa.Umepata cha Arusha nini?
Linaitwaje hilo jani mkuuHapana mkuu ila nahisi kuna jani fulani jipya jamaa yangu ameliongezea kwenye sufuria ya kujifukizia. Yaani mawingu nayaona yanakimbia balaa.
Silijui wala silielewi ila ni jipya kwangu.Linaitwaje hilo jani mkuu
Kwangu yametulia tuliii. HahahaSilijui wala silielewi ila ni jipya kwangu.
Ila ukicheki nje, je mawingu hayakimbii kwa kasi?
Poa mkuu, labda waulize wengine kama yanakimbia kwa kasi.Kwangu yametulia tuliii. Hahaha
WametusikiaPoa mkuu, labda waulize wengine kama yanakimbia kwa kasi.