JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hivi document ikiwa kwa PDF haiwezekani kuedit?
Ni doc ambayo nilihiitaji kwa Microsoft word ila uvivu huu nikaamua kuscan, sasa ngoma inafunguka kwa PDF as picture na kuedit nashindwa [emoji10]
Tafuta original yake ukijua maana ya PDF usingefanya ulichofanya.
 
Back
Top Bottom