Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,452
Sawa sawa, tukutane Msamvu tupige bia na supuTupo
Sawa sawa, tukutane Msamvu tupige bia na supuTupo
Umehadimika mzee?Hongera mkuu
Pombe situmii mm na wala sitegemei kutumia kabisa.Sawa sawa, tukutane Msamvu tupige bia na supu
Majukumu tu kiongozi, nimerejea hakika nilimiss jukwaaUmehadimika mzee?
ShikamooHamjambo?
Majukumu hayajawahi kuisha kama ujenzi wa nyumba vile hauwezi kuisha ila unapungua tu.Majukumu tu kiongozi, nimerejea hakika nilimiss jukwaa
MarahabaShikamoo
YeahHamjambo?
Hahahaha, unasikiliza music SAA hzKinyulinyuliSamir
Hamjambo?
Shikamoo
HahahahaMarahaba
Hairuhusiwi au?Hahahaha, unasikiliza music SAA hz
Shida nini? 😅Hahahaha
Salimia dogoYeah
Hakuna shida, shikamoo sistaShida nini?![]()
Tupo tupo bado..nipo kitandani usingizi hauji kabisaaa...Naona walinzi mmetepeta
Mmmmh, nisamehe ,sorryHairuhusiwi au?