Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,404
- 29,370
Kumbe haya mambo yana wenye! Haya kapambane na ukungu nje huo mm acha nivute shuka.
Umejuaje, utakuwa jirani wewe... kuna manyunyu naona uvivu hapa.
Najishauri na kujiuliza kwanza natafuta sixpack ili nini.?