Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
😊 Utakuwa umepotea njia ww leo.Sanaa leo ngoja nikeshe kidogo
😊 Utakuwa umepotea njia ww leo.Sanaa leo ngoja nikeshe kidogo
Ulitaka kutoa maelezo gani tofauti na hayo niliyoyase hapo juu embu nyosha maelezo 😂😂😂😂Wee jamaa utapigwa na radi ujue 😂😂.. ila nisikuharibie brand tu
Umenikumbusha hili tangazo la coca.Kuna muda mungu na shetani wanakaa kuangalia waovu talented hadi wanajisahau kua ni maadui
Sizani kama kutakuwepo na mtu humu atakaye tokea hapo saiz.Aliyepo 5n jamani nipo mwenyewee
I know what you mean.Muda unakimbia sana leo
Duh!Acha wenge
Unamaanisha nn hapo?I know what you mean.
Nikikuambia mara ya mwisho kukiona sijui lini utaweza kuniamini kweli?![]()









Lazima pana namnaSanaa leo ngoja nikeshe kidogo
Ndio wapi hapo?Aliyepo 5n jamani nipo mwenyewee
I know what you meanUnamaanisha nn hapo?
Kiaje?Nyie mna yenu wazee maana naona mnataka kushikilia bango hapo.![]()




upande wa pili wa mlimanicityNdio wapi hapo?
Sijui ndio maana nimeuliza.I know what you mean
Namna itokee wapi mzeeLazima pana namna