Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 737
- 1,751
Ametembea na rafiki wa dada zake, akatembea na majirani na mwishoe akafanikiwa kuwajua na dada zakeWewe unahisi anaungama dhambi gani? uzinzi inaweza kuwa kabaka! nk
Ametembea na rafiki wa dada zake, akatembea na majirani na mwishoe akafanikiwa kuwajua na dada zakeWewe unahisi anaungama dhambi gani? uzinzi inaweza kuwa kabaka! nk
Ukifikia kufanya mahasi na unatubu kama hivyo hadi father anashika kichwa utakuwa upo level za kumkaribia shetani mwenye 😂😂😂😂😂😂
Shetani anaweza akasimama akakupigia saluti alafu akajiuliza kwa nini hakufikiria kufanya hivyoUkifikia kufanya mahasi na unatubu kama hivyo hadi father anashika kichwa utakuwa upo level za kumkaribia shetani mwenye 😂😂😂😂😂😂
Acha wengeMuda unakimbia sana leo
Leo ukiamka tena mida hiyo fagia uwanja,Jana nimekuta uwanja mchafu sanaNdiyo
Hapo unakuta anamwambia father nineuwa watu 10 mpaka sasa nimebaka mpaka masister, wajane na vikongwe wote nineuwa mpaka familia yangu.Shetani anaweza akasimama akakupigia saluti alafu akajiuliza kwa nini hakufikiria kufanya hivyo
Kweli yani saa 7 hii hapa kama mchezo wa kuigiza vile.Acha wenge
Kuna watu ni creative wa madhambi mpaka mungu anakaa kwanza kumanipulate equation ya kuna kumhukumu anashanga ni error za kutosha.Shetani anaweza akasimama akakupigia saluti alafu akajiuliza kwa nini hakufikiria kufanya hivyo
Hujapata kipochi manyoya Leo?Kweli yani saa 7 hii hapa kama mchezo wa kuigiza vile.
Nikikuambia mara ya mwisho kukiona sijui lini utaweza kuniamini kweli? 😂😂😂Hujapata kipochi manyoya Leo?

🙆♂️ nimemsoma padreHapo unakuta anamwambia father nineuwa watu 10 mpaka sasa nimebaka mpaka masister, wajane na vikongwe wote nineuwa mpaka familia yangu.
😄😄😄 Father acha ashike kichwa..🙆♂️ nimemsoma padre
Haha aisee ni hatari. Mtu anapiga dhambi mpaka shetani anaona wivuKuna watu ni creative wa madhambi mpaka mungu anakaa kwanza kumanipulate equation ya kuna kumhukumu anashanga ni error za kutosha.
Yaani sir God anakazi kubwa sana ndio maana kuna muda anachelewa kujibu requests za client wake.
Sanaa leo ngoja nikeshe kidogoKweli yani saa 7 hii hapa kama mchezo wa kuigiza vile.
Kuna muda mungu na shetani wanakaa kuangalia waovu talented hadi wanajisahau kua ni maaduiHaha aisee ni hatari. Mtu anapiga dhambi mpaka shetani anaona wivu
Wee jamaa utapigwa na radi ujue 😂😂.. ila nisikuharibie brand tuNikikuambia mara ya mwisho kukiona sijui lini utaweza kuniamini kweli? 😂😂😂