Si unajua tena Weekend vibaka nao wanakuwa kazini. Walinzi tumelelekeza nguvu zote kwenye lindo. 😁Leo lipo doro sana.
@yna2 umeamka?5:04
Mzee weekend ndio kujiwe huwa kinachangamka maana hakuna commitment kivile. Ila leo wana wamepotea sana.Si unajua tena Weekend vibaka nao wanakuwa kazini. Walinzi tumelelekeza nguvu zote kwenye lindo. [emoji16]
Ndiyo@yna2 umeamka?
Afadhali tuwe wote maana niko alone hapaNdiyo
😃😃Afadhali tuwe wote maana niko alone hapa
Ulikuwa halftime bila shaka. Wakubwa wanafaidi[emoji2][emoji2]
Nakuacha Sasa hivi.
😂😂😂😂Ulikuwa halftime bila shaka. Wakubwa wanafaidi
[emoji23][emoji23][emoji23] naamini maneno yako. Have a wonderful day[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aah wapiii..leo sikua halftime majukumu tu
Kwako pia mpendwa..bye[emoji23][emoji23][emoji23] naamini maneno yako. Have a wonderful day
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji38][emoji38] Uzinzi mtupu anaungama hapo[emoji1787][emoji1787]
Huo uzinzi sidhani kama ni level ya kawaida. Maana hata mapadre wamezoea hayo maungamo[emoji38][emoji38] Uzinzi mtupu anaungama hapo[emoji1787][emoji1787]
Wewe unahisi anaungama dhambi gani? uzinzi inaweza kuwa kabaka! nkHuo uzinzi sidhani kama ni level ya kawaida. Maana hata mapadre wamezoea hayo maungamo