Unaenda wapi bintiNilikuwepo..
Usiondoke, mbona mbioNilikuwepo..
NipoMarhabaa ,uko kimya sana tatizo nn tena ,jiandae tukasali St Peter muda ndio huu
Mzima lakini5:55
Hahahaha, nakabidhi silaha ya moto mabatini, naingia zangu kufanya yangu sasa taratibuUnaingia kuwajibika silaha umepokonywa
Nyumbani 😀Unaenda wapi binti
Sawa, nisubiri pale pa last wiki ,usiuweke sana sasaNipo
Jiandae ukimaliza nipitie..
Shida ni nini unakabidhi mapema lindoHahahaha, nakabidhi silaha ya moto mabatini, naingia zangu kufanya yangu sasa taratibu
Hahahaha, uzuri napajua nitakujaNyumbani![]()
KaribuHahahaha, uzuri napajua nitakuja
Hahahaha, mkuu si nimekutonya ,usinichongee kwa boss, tutakutana St PeterShida ni nini unakabidhi mapema lindo
UtanikutaSawa, nisubiri pale pa last wiki ,usiuweke sana sasa
Mimi pia mzima, ngoja tukabudhi lindo muda huuYeah, thanks for asking
Natumaini we pia mzima....
Ahsante, tuhamie kule hapa muda ushaishaKaribu
Nimebeba kila kitu , dakika 5 nakupigia nikiwa njeUtanikuta
usisahau shajara tu
Ukienda kusali st peter lazima ukutane na rais John pombe MagufulHahahaha, mkuu si nimekutonya ,usinichongee kwa boss, tutakutana St Peter