Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,885
- 51,707
Umeshatoka ibadani, umetuonbea walinzi wote maana tunasinzia sana tukiwa ibadaniHahahaha, Mkuu ni Dominika ya 12 Ya Mwaka A wa Kanisa
Umeshatoka ibadani, umetuonbea walinzi wote maana tunasinzia sana tukiwa ibadaniHahahaha, Mkuu ni Dominika ya 12 Ya Mwaka A wa Kanisa
Bado mpo muda wa church huu!Wa kwanza tumeshatokaBado mpo muda wa church huu!
Uko vizuriHahahaha, Mkuu ni Dominika ya 12 Ya Mwaka A wa Kanisa
Nipo mkuuMama D hivi upo
😂😂😂 nashukuru sana mkuu.Kama kawa Jombaa Tuma salamu kwa watu watano ....
Kwa njia ya tag mfano
Natuma salamu kwa pujo akiwa mafeelings street
Mshana Jr akiwa kilingeni msata ..😂😂😂
Pia natuma salamu kwa Super Villain akiwa hapa hapa jf usiku wa manane
Hahahaha, tujiandaa sasa muda wa lindo unakaribiaUmeshatoka ibadani, umetuonbea walinzi wote maana tunasinzia sana tukiwa ibadani
Leo nakuwa mlinzi mtiifu
Hapana nilikuwa likizoMwana mpotevu!
Hapana nilikuwa likizo
Ushakuwa mkubwa sasa umeachiwa ukeshe?Leo nakuwa mlinzi mtiifu
Baada ya kukosekana kwa mida mrefu umedoji sana, tumikia fainiLeo nakuwa mlinzi mtiifu
We kweli kipapatiroGirl/lady.. kma upo single njoo DM tuyajenge... Only serious ladies