Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,451
Hahahaha, tukutane 40/40 tumalizie za mezaniMimi pia mzima, ngoja tukabudhi lindo muda huu
Hahahaha, tukutane 40/40 tumalizie za mezaniMimi pia mzima, ngoja tukabudhi lindo muda huu
Hahahaha, naam rais bora wa muda woteUkienda kusali st peter lazima ukutane na rais John pombe Maguful
Ulinzi raha shida ni moja tu hatujui adui zetu, wanatu attach anytime, tukizembeaHahahaha, tukutane 40/40 tumalizie za mezani
Hahahaha, hilo ndio tatizo, hivi Leo Dominika ya ngapi nishasahauUlinzi raha shida ni moja tu hatujui adui zetu, wanatu attach anytime, tukizembea
Mimi nimezidi utoro Mungu anisameheHahahaha, hilo ndio tatizo, hivi Leo Dominika ya ngapi nishasahau
HahahahaMimi nimezidi utoro Mungu anisamehe
Hahahaha, Mkuu ni Dominika ya 12 Ya Mwaka A wa KanisaMimi nimezidi utoro Mungu anisamehe
Hahahaha, wengine sio wakeshaji /walinzi ni wanaamka kupika maandazi,visheti,bagiaWale watoto wanaopiga piga kelele wako wapi? Kukesha hamuwezi lakini kelele mingi.
Hahahaha, wengine sio wakeshaji /walinzi ni wanaamka kupika maandazi,visheti,bagia


kabisa mkuu. Hahahaha, ebana mlinzi kamaliza lindo ,kaja kusali ,katekwa hapa Gavana ,nasubiri huruma ya mtekajikabisa mkuu.
Vp leo kambi umekita wapi?
Hahahaha, ebana mlinzi kamaliza lindo ,kaja kusali ,katekwa hapa Gavana ,nasubiri huruma ya mtekaji


tekeleza majukumu ya kifamilia mkuu. Hilo ni jambo jema sanaHahahaha,njoo uniokoetekeleza majukumu ya kifamilia mkuu. Hilo ni jambo jema sana
Hahahaha,njoo uniokoe


hapo nitakuwa nimeingilia mamlaka halali ya mtekaji. Isijekuwa mzee umejipeleka mwenyewe kwa mtekaji.Hahahaha, halafu km kuna ukweli hivi ,lkn watekaji wako wawili ,huyu mmoja akuteke wewe basihapo nitakuwa nimeingilia mamlaka halali ya mtekaji. Isijekuwa mzee umejipeleka mwenyewe kwa mtekaji.
Hili zali. Ninavyopenda kujitekesha, hiyo fursa hainipitiHahahaha, halafu km kuna ukweli hivi ,lkn watekaji wako wawili ,huyu mmoja akuteke wewe basi


.Hahahaha, mie mwenzio nishatekwa ,sasa na hamishwa sijui napelekwa wapi ,ukiona kimya ujue mtekaji na mtekwaji wameelewana RansomHili zali. Ninavyopenda kujitekesha, hiyo fursa hainipiti.
Duh! Kwa hiyo umetekwa na mmoja au wote wawili? Kama ni mmoja huyo mwingine kabaki wapi nami nije aniteke.Hahahaha, mie mwenzio nishatekwa ,sasa na hamishwa sijui napelekwa wapi ,ukiona kimya ujue mtekaji na mtekwaji wameelewana Ransom


Nakutafuta wewe00:49
Niko na katochi cha kiswaswadu cha Nokia namulika njia tayari kwenda kukata lile bomba la mpira wa maji liloungwa Jana
Kesho jpili wataenda watu kanisani hawajaoga