JamiiForums Usiku wa manane
yeah uko sahihi mkuu, ila kitu kdgo kinakuzwa kulingana na status yako, nakumbuka mwaka jana nlikamatwa REDHANDED na bangi pale kahama, nlikamatwa na polisi mida ya saa 7 usiku kulikua na chimbo nlipelekwa inaitwa ZE FOX it costed mile 3M .. kesho yake nlikua na kikao kazini by all means sikutakiwa kukikosa tena kwa kulala selo, hapana mkuu... bangi imekua poa casually tu ila katika dola japo wao pia wanatumia hua wanatukazia sisi wakereketwa. ndo mana sitaki kuacha traces!. .
Ni wakati tu iwe legalised bana.
Haina madhara wala nini.
Wanatuzingua tu.
 
saaa 0954am, au 0354 hrs...
Kuna kipindi story zilivuma kwamba walevi wa uwanja wa fisi ikifika mida hii wanapigiwa ule wimbo wa michezo wa RTD hivyo wanajua kumbe ni saa 7:45 pm au saa 2 kasorobo usiku.

Wimbo wenyewe sisi watoto tundu tuliiimba "baba yake joni ana maviraka yanaulizana ulikuja lini? Nilikuja jana nitarudi kesho."
 
Hivi bangi na unga ni sawa? Binafsi bangi nishaiona sana watu wengi wanatumia ninaijua hata ikiwa mbali.

Na si watu kama wanavyoielezea "kama vile watumiaji ni watu wa hovyo hovyo" hapana ninaowajua na wanaopuliza mbele yangu ni watu wenye dhamana zao serikalini.

Hapa nilipo mda tumekaa sehemu wanapoza koo na ganja juu lakini unga hapana aiseeee ni ishu ingine kabisa.

Huyo jamaa yako alikuwa na mambo ya ajabu kupost unga ntandaoni?

Alikuwa ameranduka mno au labda ushamba mzigo aliona anajifaragua.

Bangi na unga ni tofauti aise kupost unga mtandaoni ni dharau kwa mamlaka.
@amu ushawahi vuta ganja?
 
nope aliassume anonimity ya JF was safe,. but actually alijiingiza mkenge..
 
@amu ushawahi vuta ganja?
Hapana.
Sijawahi vuta na sitowahi

Lakini nina marafiki wa kike na kiume wanapuliza.
Na ni very reputable person.

Kuna wakati huwa nawaambia "we mjinga wangejua unapuliza bangi wasingekupa hiyo nafasi"

Vijana watatu naofanya nao kazi wanapiga bange na ni wako poa tu.

Hapa yenyewe mda huu kuna watu wanapuliza bange.

Pengine ni kwa vile hawataki tu kuungana na Msukuma kuitetea iwe legalised

Sijawahi kuona madhara ya bange ila madhara ya unga nayaona mara kwa mara na unga ushaharibu maisha ya best student wetu shule ya msingi.

Mbaya zaidi alikuwa ni yatima aliyelelewa dogo dogo centre.
 
Back
Top Bottom