JamiiForums Usiku wa manane
dah wakat naenda huko mashambani(mufindi) nlilala iringa, nkaenda chimbo moja inaitwa MIAMI nkapata supu heavy nkajiopolea na chupi moja kali sana kutoka chuo cha TUMAINI
Umekumbusha mbali sana bro. Miami ndio chimbo langu la kuku wa kienyeji choma. Pale unaweza dhani huwa hakuna usiku mzee.
 
Back
Top Bottom