JamiiForums Usiku wa manane
Hapana.
Sijawahi vuta na sitowahi

Lakini nina marafiki wa kike na kiume wanapuliza.
Na ni very reputable person.

Kuna wakati huwa nawaambia "we mjinga wangejua unapuliza bangi wasingekupa hiyo nafasi"

Vijana watatu naofanya nao kazi wanapiga bange na ni wako poa tu.

Hapa yenyewe mda huu kuna watu wanapuliza bange.

Pengine ni kwa vile hawataki tu kuungana na Msukuma kuitetea iwe legalised

Sijawahi kuona madhara ya bange ila madhara ya unga nayaona mara kwa mara na unga ushaharibu maisha ya best student wetu shule ya msingi.

Mbaya zaidi alikuwa ni yatima aliyelelewa dogo dogo centre.
binafsi napenda sana kampani ya mademu wanaovuta bangi, wanatumia kilevi kwa staha pia.
 
alisema yule mbunge wa kahama kua bangi ni tiba hvyo ihalalishwe tu na watu waanze kulima... BTW mi tayari nna shamba kule Iringa(mafinga_mufindi) nasubiri waidhinishe tu, nianze taratibu za kilimo, na kutafuta mbegu.
Inabidi uanze kufanya rerearch mapema sana ya kujua mbegu bora ni ipi halafu nasikia haina hata makuu inajiotea tu.
 
Hapana.
Sijawahi vuta na sitowahi

Lakini nina marafiki wa kike na kiume wanapuliza.
Na ni very reputable person.

Kuna wakati huwa nawaambia "we mjinga wangejua unapuliza bangi wasingekupa hiyo nafasi"

Vijana watatu naofanya nao kazi wanapiga bange na ni wako poa tu.

Hapa yenyewe mda huu kuna watu wanapuliza bange.

Pengine ni kwa vile hawataki tu kuungana na Msukuma kuitetea iwe legalised

Sijawahi kuona madhara ya bange ila madhara ya unga nayaona mara kwa mara na unga ushaharibu maisha ya best student wetu shule ya msingi.

Mbaya zaidi alikuwa ni yatima aliyelelewa dogo dogo centre.
@amu unajua kibongobongo tunakosea sana ku judge mtu kwa appearance yake au matendo yake. Kuna mtu hawezi kutekeleza majukumu yake kama hajashtua cha R chuga.

Wenzetu wa mbele wanaangalia zaidi perfomance hayo mengine ni personal na hayatuhusu.
 
Na baridi hii bila kinywaji wala bangi wala demu.....acha kabisa!! Unapata uwendawazimu
 
Attachments

  • Screenshot_20200620-041654.png
    Screenshot_20200620-041654.png
    62.7 KB · Views: 7
Back
Top Bottom